Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
WCB wasafi soon kutengeneza ndege. [emoji16] [emoji51] [emoji119]
Huyu ambaye haitamsumbua kichwa, ni yule ambaye siku zote hajali maisha yake..kwa maana nyingine "hajitambui".
Binti aliyezoea kuchunguliwa chunguliwa hovyo, ufuska kwake si tatzo. Wafikiri hii itamsumbua??
Kwa upande wangu huwa sianzishi uhusiano wa kimapenzi na mwanaume kabla sijamjua nje ndani...
Aina ya mwanaume nayo huchangia hadi mtu kufikia kudhalilishwa.
Watengeneze tu, sie tunapenda vijana wawe wabunifu.WCB wasafi soon kutengeneza ndege. [emoji16] [emoji51] [emoji119]
Sana ya buyenze alikua anatutolea mfano wewe tu kila siku,shukran pyaar kwa kuja na kumuweka kapu moja na sie huyu yego kutiki hahahaah
Nalombaga juisi hahahah ninajua bana