Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aacha hizoHahaaa! Eti kapu moja, hapana kabisa! Wewe yaani uko kapu la peke yako! [emoji1][emoji1]
Aacha hizo
Watashirikiana na Ali kiba. [emoji23] [emoji1]Watengeneze tu, sie tunapenda vijana wawe wabunifu.
Vipi hiyo ndege watatengeneza wenyewe?
Watashirikiana na Ali kiba. [emoji23] [emoji1]Watengeneze tu, sie tunapenda vijana wawe wabunifu.
Vipi hiyo ndege watatengeneza wenyewe?
Uwiiii asiione shimba hii. SanteeHahaha!
Nalelombaga ijuisi.
Sasa hiyo ndege haitaitwa WCB..Watashirikiana na Ali kiba. [emoji23] [emoji1]
Sauwa tuuuHahahahahahaha dah nimecheka sana
Jf raha sana Numbisa pole