Muhimu sana hii....
Shukran sanaKwa kuongezea, magome ya mlonge pia husaidia kuunga mfupa wa mkono/mguu kwa aliye vunjika.
Mmmh kwan wewe ni andjul jamanMambo ya kawaida tu mbona? Wangekuwa wanataja na majina ingependeza zaidi....
andjul. Mama Mlonge is baaaaack...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlonge ni mti maarufu sana Duniani kote hata hapa kwetu Tanzania husussani mkoa w Kigoma. Wao hutumia kama dawa ya kuteguka, maumivu ya mwili au miguu, tumbo na hutumika zaidi kwa matumizi ya kivuli.
Ziko aina nyingi za mti wa Mlonge, lakini zinazofahamika sana ni zile aina saba za mlonge zilizo maarufu kati ya 13 zilizopo ;
Kama sanchoka,hamisa,tunda etc mbona wanapicha nying tu chafuKwako wewe ikoje?
Binti amebebeshwa mzigo mzito na jamii. Kuna ishu ya kuolewa. Kuna heshima kwa familia...Kuna....
Binti ambaye hajaolewa eti avujishe picha za uchi au akigegedwa halafu isimsumbue kichwani? Huyo basi atakuwa shujaa kweli kweli. Hata sheria ya makosa ya mtandaoni ilipata msukumo sana baada ya visa vya mabinti kudhalilishwa vilipozidi...
Hizi picha za matako nje zinaniboa mchana huu jaman jaman
Ni kweli mimi siyo Andjul...Mmmh kwan wewe ni andjul jaman
Raha ya ubuyu ujiongeze sio mpaka utajiwe majina
Mkuu mkuu duhNi kweli mimi siyo Andjul...
Samahani mkuu kwa kuingilia...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kama sanchoka,hamisa,tunda etc mbona wanapicha nying tu chafu
Huyu ambaye haitamsumbua kichwa, ni yule ambaye siku zote hajali maisha yake..kwa maana nyingine "hajitambui".Kwako wewe ikoje?