Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabinti hasa muwe waangalifu jamani. Kuna binti humu alikuwa mashuhuri sana japo sasa simuoni nilikutana na picha zake mahali jamaa alikuwa analalamika kuwa eti binti alikuwa anamlazimisha wafanye mambo mabaya wakati wa kugegedana. Ila ukisoma post za binti mwenyewe yaani anaonekana kama mtakatifu fulani hivi...
Hata kwenu uangalifu na umakini unahitajika.
 
KINUTHIA is on his deathbed and begins to speak:
"My son, I want u 2 take the Kangemi and Skuta Apartments.
My daughter, u take the Oun Hotel, Kamakwa apartments and the mansions on Ring Road.
My son, Chege, I want u to take the offices in town, Golf Club and Green Hills.
My wife, please take all the residential buildings in ithi, Skuta and Kingongo."

The nurse says to KINUTHIA's wife, "eeh yawa si you are rich,mama chege" She replies, "Rich? Sio nyumba tunapewa ni routes za kuzungusha maziwa!"...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
River Lake Nilotes are divided into three groups.

Joka Omolo
Joka Jok
Joka owiny

Joka Jok want to over throw Salvar Kiir in South Sudan.

Joka Owiny want to overthrow museveni and gives him headache of his life.

Joka Omolo even sworn themselves in Kenya.
Mumeona hii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kwenu uangalifu na umakini unahitajika.
Ndiyo maana nikasema hasa mabinti. Mi naonaga midume hata ikidhalilishwa siyo ishu kivile, ila mabinti sijui kwa nini huwa inaumiza sana. Tazama LeMutuz. Ingekuwa binti ndo kafanyiwa vile unafikiri ingekuwaje? Ila you are right. Sote inabidi tuwe waangalifu !!!
 
Kwa binti inategemea na binti mwenyewe, mwingine wala haimsumbui kichwa..
Lakini kwa mwingine anaweza atamani hata kuhama sayari.
 
Mlonge ni mti maarufu sana Duniani kote hata hapa kwetu Tanzania husussani mkoa w Kigoma. Wao hutumia kama dawa ya kuteguka, maumivu ya mwili au miguu, tumbo na hutumika zaidi kwa matumizi ya kivuli.

Ziko aina nyingi za mti wa Mlonge, lakini zinazofahamika sana ni zile aina saba za mlonge zilizo maarufu kati ya 13 zilizopo ;
 
29095089_155875268435730_2855296315670134784_n.jpg
 
Back
Top Bottom