Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

28765912_440150986417042_1894419948671860736_n.jpg
 
Lakini kuna tofauti wanapoweka picha hizo wenyewe mtandaoni na anapoweka BF. Ni ujinga na utoto wa hali ya juu kwa BF au Ex BF ambaye ana picha za uchi za aliyekuwa mpenzi wake kuziweka hadharani ili kumkomoa kwa namna yoyote ile. Watu kama hawa inabidi waadhibiwe hata miaka 10 au zaidi jela.
Revenge porn. Ni felony katika majimbo mengi kule maporini kule...Na wanafungwa kweli...
 
Lakini kuna tofauti wanapoweka picha hizo wenyewe mtandaoni na anapoweka BF. Ni ujinga na utoto wa hali ya juu kwa BF au Ex BF ambaye ana picha za uchi za aliyekuwa mpenzi wake kuziweka hadharani ili kumkomoa kwa namna yoyote ile. Watu kama hawa inabidi waadhibiwe hata miaka 10 au zaidi jela.
Sidechick wa dai aliweka mwenyewe(kwa kumtumia shost)wakiwa kitandan na dai wakisaka mtoto. Nia na madhumun ati anamkomoa dai na main chick akidhan ataolewa yeye na kupendwa zaidi
 
Hili ni kosa kwangu ni lazima wahusika wote waridhie. Nimeona baadhi ya sites ambazo mume au BF huchukua picha ya mke au GF akiwa amelala uchi wa binadamu na kuweka mtandaoni. Watu waliwajia juu sana na hata kuwatusi walichofanya si sawa au kuweka camera ambazo mrembo hajui nini kinaendelea.

Sidechick wa dai aliweka mwenyewe(kwa kumtumia shost)wakiwa kitandan na dai wakisaka mtoto. Nia na madhumun ati anamkomoa dai na main chick akidhan ataolewa yeye na kupendwa zaidi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Trust issues
 
Back
Top Bottom