Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852713023_201735.jpg
 
Kuna tofauti kubwa kwa picha ulizopiga mwenyewe kwa sababu ya usilei kwini wako na picha ambazo umepiga faragha na mpenzi wako halafu unazikuta laivu mtandaoni kaziweka.
Kama kuna tukio humu jamaa akaweka picha za uchi kabisa za mwanamke akisema ni mdada wa humu alimtumia sijui walipiga wote kwa mapenzi yao aisee sijui mhusika alijisikiaje
 
Hili ni kosa kwangu ni lazima wahusika wote waridhie. Nimeona baadhi ya sites ambazo mume au BF huchukua picha ya mke au GF akiwa amelala uchi wa binadamu na kuweka mtandaoni. Watu waliwajia juu sana na hata kuwatusi walichofanya si sawa au kuweka camera ambazo mrembo hajui nini kinaendelea.
Wapo wa hivyo madai yao wanatunza kumbukumbu hadi mitandaon eti isisahaulike
 
Back
Top Bottom