Wanatawaliwa na madikteta? Is that the implication?
Hapo waandaa maandamano kicheko nje kisa mzungu kasemaWanatawaliwa na madikteta? Is that the implication?
Wazungu wakinyimwa free access ya resources za watu walizozoea kupora kwa faida yao wanahaha balaa. The Economist wanavyoandika kuhusu Tanzania utafikiri Syria kumbe ni access ya resources zetu wamekosa. Shwaiini....
Mwanamke halisi wa Kiafrika anayejiamini na kujikubali halinganishiki na na cho chote na wala ye yote hapa duniani...Basi tu dada zetu wamepondwa pondwa kifikra lakini ni warembo sana wakiamua kubakia natural...
JanaEhee mambo hadharani lini tena
Hahaha! Umekuwa Faiza naonaNalelomba juisi (kama ni Kikoromije). Ijuisi kama ni Kijita, Kikerewe, Kihaya na lugha zingine zinazozunguka Ziwa Nyanza.