Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee ushaniita majina yote...mkuu, bro, boss, dadii....and counting...

Napenda sana upole na ucheshi wako. Endelea kubarikiwa na kamwe usibadilike. Nakuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji7][emoji1545]
Ameeeeennn [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] SYB
Ameen
 
May be because they are Arabs/Muslims. They do the same to us Africans...
852737787_66627.jpg
 
Aliyekuwa Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anazuiliwa na polisi akihojiwa kuhusu tuhuma kwamba alipokea pesa za kufadhili kampeni zake kutoka kwa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi.
Polisi wanachunguza tuhuma hizo kuhusiana na ufadhili wa fedha alizotumia kwenye kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2007.
 
Polisi waliwahi kumhoji awali.
Msaidizi wake wa zamani Alexandre Djouhri pia alikamatwa jijini London karibuni.
Bw Sarkozy alishindwa katika juhudi zake za kutaka kurejea madarakani mwaka 2012.
Duru kutoka kwa mahakama zimesema rais huyo wa zamani alikuwa anahojiwa Nanterre, magharibi mwa Paris.
 
Mwaka 2013, Ufaransa ilianzisha uchunguzi kuhusu tuhuma kwamba kampeni ya Sarkozy ilipokea mchango kutoka kwa hazina ya pesa haramu za Gaddafi.
Bw Sarkozy amekanusha tuhuma hizo.
Duru zinasema mmoja wa mawaziri wa zamani wa Sarkozy na ambaye ni mshirika wake wa karibu Brice Hortefeux pia alihojiwa na polisi Jumanne.
Tuhuma hizo zilitolewa na mfanyabiashara Mfaransa mwenye asili ya Lebanon Ziad Takieddine na baadhi ya maafisa wa zamani wa Gaddafi.
 
Rais Donald Trump amesema kuwa anataka kuweka adhabu kali ikiwemo adhabu ya kifo kwa wale watakaobaninika kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.Hatua amesema ni kwa lengo la kukabiliana na ongezeko kubwa watumiaji ndani ya Marekani.
Katika hotuba yake aliyoitoa akiwa New Hampshire,wauzaji wa dawa za kulevya wamesababisha vifo vya maelfu ya watu, lakini cha ajabu baada ya kuhukumiwa kufungwa wanakaa muda mfupi tu gerezani jambo ambalo anasema haliridhishwi nalo.
 
Ameongeza kuwa tatizo hili linaweza kuondolewa kwa kutumia akili na kuwa imara pamoja na kutenga fedha.
"Mwezi oktoba tulitangaza tatizo hili kama janga la dharula kiafya ambalo limedumu kwa muda mrefu tangu kipindi kilichopita.Tumelifanyia kazi na bunge kuhakikisha tunatenga kiasi cha dola billion sita katika bajeti mpya yam waka 2018/2019 ili kukabiliana na tatizo la dawa za kulevya,ambapo tutakuwa tumetenga kiasi kikubwa cha fedha kuwahi kutokea dhidi ya tatizo hili'.
 
Hata hivyo Rais Trump ameelezea mikakati iliyowekwa tayari katika kukabilianba na dawa za kulevya hadi sasa.
"Kwanza kabisa tunapunguza kiwango uhitaji wa dawa hizo,kuhakikisha tunapunguza idadi ya watu wanaojiingiza na hatimaye kutekewa na matumizi ya dawa za kulevya,ni muhimu sana.Hiyo inahusisha serikali kutoa fedha kwaajili ya miradi isiyo jihusisha na masuala ya dawa za kupunguza maumivu,na kuhamasisha matumizi ya dawa za kuondoa maumivu zisizo na madhara.Na ni jambo lililo ndani ya uwezo wetu.Lakini pia tunatoa ushauri,na idara yetu ya inaliangalia suala hili kwa makini ikiwemo kuchukua hatua za kisheria,na tutalisimamia katika hatua ya kiserikali''
 
Back
Top Bottom