Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

i) 60 sm – 90 sm x 5.7 sentimita kwa mbegu fupi.
ii) 12 sm – 15 sm x 5 – 7.5 sentimita katika safu mbili za sentimita 90 kwa mbegu inayotambaa.
iii) Njegere hustawi vizuri zikipata sehemu za kutambalia.
iv) Mbegu ya njegere huota baada ya siku 7 – 10.
 
UPALILIAJI
Njegere zipaliliwe zikiwa changa shamba lililotayarishwa vizuri na kuondolewa magugu ya mda mrefu (Perrenial weeds) linaweza kupalliwa mara moja, kwa sababu njegere hukua haraka, na zinaweza kushindana na magugu. Baada ya kutoa maua, njegere zisipaliliwe ili kuongeza mazao.
 
Magugu hushindana na kunyanganyana na mimea kutumia virutubisho. Pia huongeza kivuli wakati wa utoaji maua na kusababisha upungufu mkubwa wa mazao. Palizi hufanyika kwa mkono au kutumia dawa za kuua magugu.
 
MAGONJWA.



Ascochyta.
Kutokea kwa mabaka makubwa ya kahawia kwenye majani na matunda. Pia hutokea hata kwenye shina. Katikati ya baka huwa rangi ya kijivu, kingo nyekundu / nyeupe husababishwa na fangasi aina ya Ascochyta pisi.
 
Root Rot na Blight disease.(kuoza kwa mizizi na Blingt)

Husababishwa na fangasiA. pinodella na mycosphaerella pinodes.
Dalili: – madoa madogomadogo yenye rangi ya zambarau / rangi ya kahawia iliyokaza au madoa meusi ambayo huungana na kusababisha jani na maua kuwa yenye rangi nyeusi .
 
Hata kwako, ukiridhia kujifunza ewala!
Heeeeeee! Kumbe kanafunzi bado, si katanisumbua kuelewa, katakuwa kanawaza tu mitihani.
Mimi najijua. Uanafunzi siuwezi ndo maana hata shule sikwenda.

KaYego katakuwa kanafunzi kazuri. Kanasomea uhandisi wa maumeme huko somo lako kataweza tu. Sana sana we mwalimu ndo waweza ukaelemewa usipokuwa makini. Jiandae vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Katakuja kenyewe kajitetee....
 
Dalili: Majani kuonekana kama yamemwagiwa unga na baadae na
kufa. Ugonjwa unaathiri zaidi mimea kipindi cha uhaba wa
unyevunyevu.

Kuzuia: – Kutumia sulphur ya unga kama inavyoshauriwa.
 
Mayweather ajigamba kununua klabu ya Newcastle.

Bondia Floyd Mayweather amewashangaza wadau wa soka baada ya kuweka wazi nia yake ya kutaka kuinunua klabu ya Newcastle United inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza na kumsajili rafiki yake Ronaldo ambaye kwa sasa anachezea Real Madrid.

Mmiliki wa Klabu ya Newcastle Mike Ashley, Alikaribia kuiuza timu hiyo mwezi Oktoba mwaka jana lakini zoezi hilo lilishindikana.

“Inabidi uamini kama nikiwekeza Newcastle nitakuwa nikirudi kusherekea mara kwa mara’’ amesema Mayweather wakati akizungumza na Daily Star.

Mayweather ambaye amekiri kuvutiwa na mji wa Newcastle kutokana na starehe zilizopo na jinsi ambavyo wananchi wa mji huo wanajua kusherekea amesema mara zote amekuwa akifikiria fursa ya kufungua biashara mpya na michezo kwani ni kitu ambacho anakipenda.

“Napenda michezo, lakini nawekeza kwa kutumia kichwa sio moyo wangu. Ukiwekeza kwa kutumia mapenzi ya moyo wako ni njia rahisi ya kupoteza pesa, lakini kama kuna mtu anaweza leta mpango wa biashara na watu wangu wakautizama na kuupitisha nina weza kuwekeza. Soka inaweza kuwa sio mchezo wangu lakini nina mtandao kila sehemu. Ronaldo ni mtu wangu wa mda mrefu, hivyo naweza kumpata akamalizia kucheza mpira akiwa Newcastle’’ amesema mwanamasumbwi huyo anaye sifika kwa kuwa na majigambo na matanuzi ya pesa.

Newcastle United kwa sasa inakamata nafasi ya 13 kwenye ligi kuu nchini Uingereza ikiwa na pointi 32 baada ya kucheza michezo 30.
 
Fusarium wilt:– Husababishwa na fangasi / ukungu Fusarium oxysporum.
Dalili:

1. Majani kubadilika rangi kuwa manjano.
2. Mimea kudumaa.
3. Ugonjwa ukitokea kwenye mimea michanga huua mmea wote.
Kuzuia: – Tumia mbegu yenye uvumilivu kwa ugonjwa huu.
 
Fusarium wilt:– Husababishwa na fangasi / ukungu Fusarium oxysporum.
Dalili:

1. Majani kubadilika rangi kuwa manjano.
2. Mimea kudumaa.
3. Ugonjwa ukitokea kwenye mimea michanga huua mmea wote.
Kuzuia: – Tumia mbegu yenye uvumilivu kwa ugonjwa huu.
 
Back
Top Bottom