Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Virusi – Mmea huonekana kuwa na uvimbeuvimbe kuzunguka jani. Mmea hudumaa.
Kuzuia: – Kutumia mbegu zisizo na maradhi.
 
WADUDU

Wapo wadudu wengi ambao hushambulia zao la njegere. Baadhi ni kama American bollworm, Bean flies, Bean Aphids, Pea Aphids huambukiza virusi na Green peach aphids.

Inashauriwa kumwona mtaalam wa kilimo aliye karibu yako kwa ufafanuzi wa kuwazuia wadudu waharibifu.
 
UVUNAJI

Kwa njegere teke / mbichi hukomaa siku 60 – 90 na kwa njegere kavu huchukua siku 80 -150 kukomaa . Njegere teke huvunwa punje zikiwa bado mbichi, Uvunaji hufanyika mara 2 – 3 kwa wiki wakati wa kipindi cha ukuaji. Zaidi ya kilo 3000 kwa hekta za njegere teke huvunwa, Njegere kavu huvunwa wakati punje zimekauka na kuwa ngumu na ni muhimu kuwahi kuvuna njegere kavu ili kutopoteza mavuno zikipasuka. Mavuno ya punje kavu na kilo 1500 kwa hekta.
 
*YASSIN MEMBAR WHO HIJACKED A TANZANIAN PLANE IN 1982 IS NO MORE!*


Advocate YASSIN MEMBAR has passed away early today at the Jakaya Kikwete Heart Institute and will be laid to rest this afternoon.


On 27th February 1982, a youthful gang of five relatives (YASSIN MEMBAR,21, MOHD TAHIR,21, ABDALLAH ALI,22, MOHD ALI,26 and MUSA MEMBAR, 26 (their leader) hijacked a Tanzanian Boing 737 enroute to Dsm from Mwanza with 99 passengers aboard demanding immediate resignation of president JULIUS KAMBARAGE NYERERE. They forced the pilot, Captain DEO MAZURA, to fly to Nairobi, Kenya. Captain MAZULA had no option but to comply with all orders which were being issued from time to time by the hijackers. Hence the plane changed its destination and arrived in Nairobi a few hours later.

ROBERT OUKO, Kenya's Foreign Affairs Minister said the hijackers released three women and two children as they were crying non-stop. The plane refuelled and left at 12.15 Am for Jeddah, Saudi Arabia. After arriving and refuelling in Jeddah, the plane proceeded to Athens, Greece where two passengers were released.

While in Greece, MUSA MEMBAR, a former seaman and taxi driver, speaking in fluent greek, demanded that 100 coffins be brought to the airport as they were ready to die for the cause. Nonethelese, the plane proceeded to London-Stanstead.

On arriving at the Stanstead airport, UK, the hijackers said they belonged to the REVOLUTIONARY YOUTH MOVEMENT OF TANZANIA.

There were negotiations between the hijackers, Hon. Ambassador ANTHONY NYAKI and Secretary of state LORD CARRINGTON. After 26 hours of negotiations, the hijackers were totally exhsusted and hungry hence they released 7 hostages.

Then the hijackers demanded to speak to exiled Tanzanian opposition politician OSCAR SATHIEL KAMBONA. After he spoke to them as they demanded, they surrendered on 28th February 1982.

The weapons used by the hijackers to secure control of the aircraft included 2 wooden imitation pistols, an imitation hand grenade, two candles wrapped up to appear like gelignite explosive sticks and three knives.

They were taken ti court where they were sentenced to serve a three year jail term afterwhich they were granted political asylum status.

YASSIN MEMBAR then went to work for a London Law firm and thereafter studied law.

They returned to Tanzania and MUSSA MEMBAR died in 1992 in jail.


Up until his death, YASSIN MEMBAR was an advocate of the High Court of Tanzania.


*REST IN PEACE ADVOCATE MUSSA MEMBAR*.
 
Magufuli anadanganywa na watendaji wake?

Jana wakati wa mkutano wa baraza la wafanyabiashara kitu kimoja kilikuwa wazi. Kinachosemwa na serikali na hali halisi mtaani ni tofauti kama mbingu na dunia.

Mfano wa kwanza:
Kuna mwanamke alitokea bandarini akatoa taarifa kwamba kwa sasa bandarini mizigo ni mingi na kwamba makontena yamefikia laki 5 yaani mara mbili ya miaka iliyopita yaani makontena laki 2.5.

Wakati huyo mama anasema hivyo mfanyabiashara toka Mtwara akamueleza rais kwamba hali ni mbaya sana. "Mh rais mi namiliki hotel Mtwara lakini hali ni mbaya sana. Hotel iliyokuwa inauza milioni tano sasa inauza elfu 50".

Mwingine akasema "Mh rais biashara hizi biashara nyingi zinafungwa. Na hizi biashara zinazofungwa zimeajiri watanzania na serikali ilikuwa inapata kodi"

Hapa maswali ndipo yanaibuka. Wakati watendaji wa serikali wanasema hali ni nzuri mbona wafanyabiashara wanalia?

Watendaji wanasema makontena yanaongezeka wakati wanaoyaagiza wanasema wanafunga biashara!

Mfano wa pili
Kuna mfanyabiasha mwenye asiri ya kiasia ambaye kiwanda chake hivi karibuni Kiwanda chake kilizinduliwa na rais alimwambia kwamba kuna tatizo alikuwa analihangaikia (hakufafanua). Alisema pamoja na kwamba kabla ya ziara ya rais alikuwa na barua ya waziri mkuu na kwenye ziara rais akatoa maelekezo bado anazungushwa..

"Mh rais pamoja na maelekezo yako na barua ya waziri mkuu nimeenda wizara ya fedha, nimeenda wizara ya viwanda bado naambiwa hawajapata maelekezo toka juu." alisema. "Sasa mawaziri wako hapa, waziri mkuu na wewe mko hapa niambiwe ofisi ya juu ni ipi? "

Mwingine anatengeneza bodi za magari ya watalii Arusha. Anasema magari yanayotoka Kenya, Rwanda na Uganda yanacheleweshwa mipakani na bandarini kwa wiki tatu mpaka mwezi. Lakini pia yanatozwa kodi kubwa kiasi kwamba wafanyabiashara wameamua kujenga viwanda vyao kwenye nchi zao na Tanzania kukosa fursa hiyo

Tumekuwa tukiambiwa nidhamu ya kazi imerejea na uzembe umekwisha. Mbaya zaidi hata baadhi ya mawaziri makatibu wakuu na wakurugenzi ambao waziri mkuu amethibitisha walialikwa hawakuudhuria.

Nilifurahi kusikia rais akisema amejifunza kitu. Kwangu mimi rais alitakiwa kujifunza kwamba anachoelezwa na watendaji wake na uhalisia ni mbingu na dunia. Hay tuanayoimbiwa ni mapambio na yeye asiyabebe kama anavyoletewa ajiridhishe kwanza.
 
Mimi tena? Maweee !!!

KaYego katakuwa kanafunzi kazuri. Kanasomea uhandisi wa maumeme huko somo lako kataweza tu. Sana sana we mwalimu ndo waweza ukaelemewa usipokuwa makini. Jiandae vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhaa!! Sidhani kama ntaelemewa sitakuwa na la ziada zaidi ya kumfanya aelewe..
Hivi hapendi pendi vinyimbo vya kihindi? Nataka nijikoki.
 
IMG-20180320-WA0031.jpg
 
Mimi najijua. Uanafunzi siuwezi ndo maana hata shule sikwenda.

KaYego katakuwa kanafunzi kazuri. Kanasomea uhandisi wa maumeme huko somo lako kataweza tu. Sana sana we mwalimu ndo waweza ukaelemewa usipokuwa makini. Jiandae vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shule uisemayo wewe ile ni mwendo wa mijeledi mwanzo mwisho,
Hii utakayofundishwa ni zaidi ya elimu ya mijeledi.
 
Watuwengihuwatunatumiaasalipasipokujuawametokananaasaliwaainagani, hivyokilaasaliambayounaitumiakuanzialeonilazimaujuewanatakonananyukiwaainagani. AsalizaNYUKI WAKUBWA na WADOGO zinatofautianakatika mambo kadhaanahvyonimuhimukujuatofautihizokablahujanunuailikuanauhakika.
 
NYUKI WADOGO
1. Ni nyepesizaidikwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 24

2. Ina ladhaya UCHACHU ingawanitamusana.
3. Mara nyingiinarangiya KAHAWIA ILIYOKOLEA inayoendakwenye WEUSI
 
NYUKI WAKUBWA
1. Ni nzitokulikoyanyukiwadogokwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 17 hadi 20.

2. Ni tamumojakwamojabilakuanaladhayauchachukamanyukiwadogo
3. Ina ranginyingikuanzia NYEUPE, NYANO, KAHAWIA ILIYOPOA, KAHAWIA ILIYOKOZA n.k
Hizonitofautizamuhimukuzijuakwanizitakuwezeshakupataasaliunayoitakanakuepukakuibiwa
 
Back
Top Bottom