Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4. Makovu bakteria (Bacterial canker)
Ugonjwa huenezwa na vimelea vya bacteria vinavyoishi kwenye mbegu na hewani. Hutokea zaidi wakati wa masika. Majani hukauka nchani na makovu yaliyodidimia hutokea kwenye shina. Matunda huwa na makovu yenye rangi ya kahawia sehemu ya katikati.
Njia za kudhibiti
· Tumia mbegu bora na safi
· Teketeza masalia ya mazao
· Tumia mzunguko wa mazao
 
5. Mnyauko Fusari: Fusium wilt
(Fusarium oxysporum)
Dalili
Dalili zinajumuisha majani ya chini kuwa na rangi ya njano. Majani yaliyoathirika hukatika kwa urahisi kutoka kwenye shina na wakati mwingine hukauka kabla ya kubainika mnyauko. Tawi moja au mawili huonesha ishara. Majani machanga ya upande mmoja wa tawi huonesha dalili za kuathirika wakati upande wa pili hauneshi dalili zozote. Matawi na vipande vya matawi vikikatwa katikati huonesha rangi ya kahawia katika sehemu za kusafirishia maji.
 
6. Mnyauko Vetisili: Verticillium wilt
(Verticillium spp.)
Dalili
Dalili hujitokeza kwenye majani yaliyokomaa na baadaye kwenye majani machanga. Majani yaliyoathirika hugeuka manjano, hukatika kwa urahisi kutoka kwenye tawi na wakati mwingine hukauka kabla kunyauka hakujajionesha. Ncha za matawi hunyauka wakati wa mchana. Wakati kupukutika kwa majani kukiendelea, majani ya juu hujikunja kwa kuelekea juu lakini hubaki hai.
 
Vyote, mnyauko ‘Fusari’ na ‘Vetisili’ hubaki kwenye udongo kwa miaka mingi. Njia za kudhibiti magonjwa haya hujumuisha yafuatayo:
 
Mbinu bora za kilimo
•Crop rotation: Mzunguko mrefu wa mazao (miaka 4-5) na mazao yanayostahimili magonjwa haya
•Tumia mbegu safi na zenye afya
•Lima kwa kuchimba zaidi
•Pandisha PH kwa kutumia chokaa au samadi katika ardhi zenye kiwango kikubwa cha tindikali
 
Usipande nyanya katika ardhi ambayo mnyauko kutokana na Ukungu ulikuwepo
•Tumia mbegu zinazostahimili mnyauko unaotokana na Ukungu (km. Diego, Duke, Floridade, Fanny, Fortune Maker, Napoli, Radja, Roma VF, Roma VFN na Tengeru 97)
•Ondoa na teketeza mimea iliyoathirika, kuzuia usambaaji wa maradhi
•Mwagilia
•Dhibiti minyoo fundo, kwani hawa wanarahisisha na kuruhusu uingiaji wa maradhi haya ya kunyauka
 
Dawa (chemical control)
Mnyauko Fusari unaweza kudhibitiwa kwa kutumia Methyl bromide, Methyl bromide/Chloropicrin. Thiophanate-methyl, Streptomyces griseoviridis and Iprodione. Mnyauko Vetisili unaweza kudhibitiwa kwa kutumia Methyl bromide/Chrolopicrin.
Kibaiolojia (Biological control)
Dawa itokanayo na ukungu Mycostop husaidia kudhibiti mnyauko unaosababishwa ‘Fusarium’.
 
Screenshot_2018-03-20-16-18-43.jpg
 
...ambapo....husuguliwa au kuchapwa KIUFUNDI kwa....,na hivyo kusababisha kutokea kwa mlio maalum(sio wa injini tokotokotoko[emoji445] [emoji444] [emoji445]) na kumwagika majimaji.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] sina cha kuongezea.

Mungu awabariki sana
 
Yamuteera katerero yakunga.
 
Back
Top Bottom