Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jinsi ya kudhibiti
· Tumia mbegu bora na safi
· Ng’oa mimea iliyoshambuliwa
· Teketeza masalia ya mazao
· Weka shamba katika hali ya usafi
 
Jinsi ya kudhibiti
· Tumia mbegu bora na safi
· Ng’oa mimea iliyoshambuliwa
· Teketeza masalia ya mazao
· Weka shamba katika hali ya usafi
 
Virusi mosaic vya tumbaku, matango na Virus jani vya nyanya
Dalili
Dalili zinajumuisha rangi rangi, kuwa manjano, vichungu, mabaka, rangi za kahawia, kudumaa, kukunjika kwa majani, nafasi fupi baina ya vifundo, majani membamba. Mazao duni, kuchelewa kuiva kwa matunda, rangi isiyo sawasawa ya matunda ni matokeo ya mashambulizi. Dalili zinategemea sana umri wa mmea ulioshambuliwa, hali ya mazingira, aina au jamii ya virusi na jamii ya virusi vyote vilivyopo. Aina ya nyanya pia inachangia aina za dalili zinazojitokeza.
 
Njia za kudhibiti
‘Tobacco mosaic virus’ na ‘tomato leaf curl virus’ huendelea kuwepo sana na husambaa kirahisi na kwa haraka, wakati ‘cucumber mosaic virus’ haiendelei kuwepo sana na usambaaji wake ni mdogo kuliko ‘tobacco mosaic virus’. Virusi husambazwa kutoka mimea iliyoathirika na kwenda kwenye mimea yenye afya kupitia kufyonza kwa nzi weupe na ‘thrips’.
 
Mbinu bora za kilimo
•Panda aina asilia zenye kuzuia.
•Hifadhi miche isigusane na wadudu kwa kutumia chandarua.
•Epuka kupandikiza kwenye ardhi zenye mimea iliyoathirika.
•Ng’oa mimea iliyoathirika na choma moto mabaki ya mazao.
•Fanya mzunguko wa mazao na mimea yenye kustahimili.
 
Epuka kuvuta sigara wakati wa kuhudumia nyanya.
•Safisha mikono na zana kwa kutumia dawa za kuua vimelea vya magonjwa.
•Epuka kwenda kwenye mashamba safi baada ya kutoka kwenye mashamba yaliyoathirika.
•Virusi husitishwa kasi ya mashambulizi yake kwa wafanyakazi shambani kutia mikono yao ndani ya maziwa kabla ya kupanda.
 
Dawa (Chemical control)
Mpaka hivi sasa hakuna kemikali inayozuia mimea isipate mashambulizi ya virusi. Dawa za kuulia wadudu zinadhibiti wadudu lakini thrips ni taabu kuwadhibiti
 
Kibaiolojia (Biological control)
Mpaka hivi sasa hakuna viumbe vinavyoweza kudhibiti virusi kwenye sehemu za mimea. Viumbe vya kudhibiti nzi weupe na vidukari kanda mbili vinafanyiwa uchunguzi.
 
10. Ugonjwa wa ukoma wa nyanya
Huu ni ugonjwa wa virus unao enezwa na nzi mweupe. Inzi hawa hushambulia zaidi nyanya wakati wa kiangazi, hasa kipindi cha joto kali.
 
10. Ugonjwa wa ukoma wa nyanya
Huu ni ugonjwa wa virus unao enezwa na nzi mweupe. Inzi hawa hushambulia zaidi nyanya wakati wa kiangazi, hasa kipindi cha joto kali.
 
Heeeee heee heee, kumbe unajua.
Kuna binti mmoja aliwahi kumtukana mshikaji wetu mnamahanga eti "Ugende uchuge emana yembwa" jamaa kaja kafurahi eti demu kamkubalia. Alipotutamkia hiyo sentensi japo kwa kubabia babia tulicheka mpaka karibu tuvunjike mbavu. Ajabu walikuja kuoana na mpaka sasa wana watoto watatu. Nikiendaga kwao huwa nakumbushia hii ishu basi vicheko mtindo mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
10. Ugonjwa wa ukoma wa nyanya
Huu ni ugonjwa wa virus unao enezwa na nzi mweupe. Inzi hawa hushambulia zaidi nyanya wakati wa kiangazi, hasa kipindi cha joto kali.
 
Dalili
• Majani machanga hujikunja na baadaye majani yote.
• Kupungua kwa utoaji maua na matunda na hata yakitokea matunda huwa ni madogo.
• Mmea kudumaa na kutozaa kabisa.
 
Njia za kudhibiti
Mbinu madhubuti ni kupunguza kuenea kwa ugonjwa huu kwenye shamba kwa kudhibiti kuzaana na kuenea kwa mdudu (inzi mweupe) kama tulivyo ona katika kupambana na mdudu huyo, yaani:
• Kuondoa mimea michache iliyo shikwa na ugonjwa maana wadudu hawa wanachukua ugonjwa huu kutoka mimea hii.
 
Kutumia mbegu zilizo hakikishwa kuwa zinaweza kuvumilia ugonjwa huu na kutoa mavuno mazuri.
• Usilime nyanya karibu na eneo lililo na mazao kama bamia, mipapai maana mimea hii huhifadhi inzi mweupe
• Kuua inzi weupe wanaofyonza nyanya na kusambaza virusi kwa kutumia madawa. Tumia madawa kama vile Selecron, Decis, Karate n.k.
• Epuka kuchanganya zao la nyanya na mazao mengine yanayohifadhi hawa nzi kama vile mipapai na bamia.
• Ng’oa na kuchoma moto mimea yote iliyougua ugonjwa huu.
 
11. Ugonjwa wa mmea wa nyanya kuoza sehemu ya shina inayogusa udongo na mmea kunyauka kama vile umekosa maji
• Wadudu wanaosabisha ugonjwa huu hupatikana ardhini.
• Hakuna dawa ya kutibu ugonjwa huu baada ya dalili kujitokeza.
• Kupiga madawa za viwandani ardhini kabla ya kupanda nyanya husaidia kupungu wadudu wa ugonjwa.
• Epuka kupanda nyanya au mazao jamii ya nyanya katika eneo moja kwa muda mrefu mfulilizo. Baadhi ya mazao yanayohusiana na nyanya ni bilinganya, pilipili, ngogwe, mnavu, n.k.
 
11. Ugonjwa wa mmea wa nyanya kuoza sehemu ya shina inayogusa udongo na mmea kunyauka kama vile umekosa maji
• Wadudu wanaosabisha ugonjwa huu hupatikana ardhini.
• Hakuna dawa ya kutibu ugonjwa huu baada ya dalili kujitokeza.
• Kupiga madawa za viwandani ardhini kabla ya kupanda nyanya husaidia kupungu wadudu wa ugonjwa.
• Epuka kupanda nyanya au mazao jamii ya nyanya katika eneo moja kwa muda mrefu mfulilizo. Baadhi ya mazao yanayohusiana na nyanya ni bilinganya, pilipili, ngogwe, mnavu, n.k.
 
IMG-20180320-WA0015.jpg
 
12. Ugonjwa wa miche michanga ya nyanya kuoza sehemu ya shina inayogusa udongo na kufa ghafla
Ugonjwa huu hushambulia miche kitaluni na husabishwa na wadudu waishio ardhini. Mara baada ya dalili, ugonjwa huu hauna dawa ila unaweza kukingwa kwa kutumia njia zifuatazo:
 
Back
Top Bottom