Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa vile mnadai usawa katika kila kitu hata tukifanya mambo mliyoumbiwa nyie ni moot point kwa sababu in essence pengine mnasaidiwa kufikia ule usawa mnaoudai. Logic 101 yangu inaniambia hivyo. Kama unadai usawa kutoka kwa mtu fulani halafu huyo mtu akaanza kufanya vitu vinavyofanana nawe si ndiyo anakurahisishia kazi na kukuongezea kasi ya kuufikia huo usawa unaoudai in the first place? Prove me wrong, please...
Lakini afadhari mfanye yote kuliko hicho walichochagua kina Delicious.
 
Back
Top Bottom