Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Siwezi kupigwa ban hata siku moja.Nna kama wiki 2 sijakuona
Labda tulipishana tu.
Siwezi kupigwa ban hata siku moja.Nna kama wiki 2 sijakuona
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aya bhna umeshndaSiwezi kupigwa ban hata siku moja.
Labda tulipishana tu.
Kwani kuwa macho muda huu kuna uhusiano gani kati ya kutokuolewa/kutokuoa?Hivi sisi ambao tupe active mpaka saivi ndo hatuna wake/waume au?[emoji1] [emoji1] [emoji41]
Shimba ya BuyenzeView attachment 720784
Ambao wapo kwenye ndoa saiv wamekumbatiana wanakoroma,wengine wananeemeka simu hazipo mikononiKwani kuwa macho muda huu una uhusiano gani kati ya kuolewa/kuoa?