Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jermain Defoe v Wigan, 2009

Supastaa, Jermain Defoe ni mmoja wa wachezaji makini sana ambao hawakufanikiwa kupata bahati ya kuchezea timu kubwa.

Timu kubwa zaidi aliyowahi kuichezea staa huyo ni Tottenham Hotspur, makali ambako Novemba 2009 alipiga bao tano pekee yake katika ushindi wa 9-1 dhidi ya Wigan Athletic.

Defoe kwa sasa anakipiga katika kikosi cha AFC Bournemouth.
 
IMG-20180320-WA0009.jpg
 
Hii hapa orodha ya mastaa waliowahi kupiga bao kuanzia nne ambao bado wapo hadi sasa wakikipiga kwenye Ligi Kuu England.

Mohamed Salah v Watford, 2018

Supastaa wa Misri, Mohamed Salah ndiye mchezaji wa mwisho kwenye Ligi Kuu England kupiga bao nne peke yake kwenye mechi moja.

Staa huyo aligusa nyavu za wapinzani wake mara zote hizo kwenye mechi dhidi ya Watford, ambapo Liverpool ilishinda 5-0.
Bao nne eeeh!?

Salah huyu mchezaji mzuri sana kwa kweli !!!
 
Back
Top Bottom