Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Halafu kama copy yake kabisaKaterero ya vidole....
Halafu kama copy yake kabisaKaterero ya vidole....
Ila Wahaya tuna kazi sana hapa nchini,
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , yote kheriAibu ya kusema kama upo na shem huku ukiwa unachat,may mi umemvizia alale ili uamke uendelee na kuchat [emoji2]
Asante mkuu niaje lakiniMkuu ndugu yangu nimetulia nasubiri mda useme maana maneno nimemaliza[emoji23]
Ulale unono malkia wangu [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahahaha
Maana sasa hivi ni kiben10wangu walahi!
Kwani kuna sehemu umekosewa mkuu?Ila Wahaya tuna kazi sana hapa nchini,
Sijui watanganyika tumewakosea nini,....
Hayo maji na mapichaaa tangu juzi natumiwa na watu!Kwani kuna sehemu umekosewa mkuu?
Dah hatari sana
Na huku nisipokuona je?[emoji2] [emoji2] [emoji2] , yote kheri
Ila asante kwa kujali uwepo wangu
Mie Jf nipo muda wote...Usiponiona kwingineko basi ujue nipo huku.
Karibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na wewe unaakili hiziNaiona, anarusha hatari
Kwani uongo?Hayo maji na mapichaaa tangu juzi natumiwa na watu!
Wanauliza eti hii nini ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pyaar