Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hichi kitaa kimenikumbusha Arabian Nights...
Hizi picha zoooooote ukiziunda na kutengenezea slideshow,video itayopatikana si itakuwa ni full match? Let me try[emoji41]
Utanitumia ukishatengeneza.Hizi picha zoooooote ukiziunda na kutengenezea slideshow,video itayopatikana si itakuwa ni full match? Let me try[emoji41]
Aaah wewe umewachunguza wahaya wangapi mpaka leo ??Kwani uongo?
[emoji2] [emoji2] hadi kwenye soccer upo best, timu gani unashabikia?Utanitumia ukishatengeneza.
Kuwachunguza vipi?Aaah wewe umewachunguza wahaya wangapi mpaka leo ??
[emoji2] [emoji2] , mie kotekote nipo.[emoji2] [emoji2] hadi kwenye soccer upo best, timu gani unashabikia?
Kivyovyote vile hadi kufikia tamati ya kuniuliza Swali Kwani wongo ???Kuwachunguza vipi?
Hahahahaaa! Wengi tu.Kivyovyote vile hadi kufikia tamati ya kuniuliza Swali Kwani wongo ???