Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji2] [emoji2] , Karibu[emoji122] [emoji122] nami nahamia chelsea,nipo arsenal miaka yote sioni nnachoshabikia
Basi sawa hongera,Ndio maana nikasimamia kauli yangu..Mimi sio mtoto.
Nije na kikombe au bakuli?Njoo uchukue
Sijawatukana. Kwani katerero tusi?Basi sawa hongera,
Kama 1975 hadi 1970 naweza kusema unalingana na mdogo wangu wa mwisho.
Hichi ndicho kiwango changu cha ukubwa...Haya acha kututania Wahaya umesikia ???