babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Kipi tena!?Mmenifanyia kitu mbaya mno
Kipi tena!?Mmenifanyia kitu mbaya mno
Pamoja mkuu tupo pamojaNaomba mniwie ladhi ndungu zangu kwa kuwatelekeza sorry sana Kichwa Kichafu,mzee wa liver,babe S,@ISIS,@Gejo,andjul
Nitakuja...Hongera sana!Najaribu mkuu napiga demo na real/live![]()
Niko....niko...Babee eeees eeeh?
Itika walau nione mwandiko wako tu.
Nawaona tuuWatu wabaya sana
Hahaa nabadoBado nahangaika kurejesha mawasiliano
Ukaribu wangu na wewe hawaupendi.Kipi tena!?
Lini ulisha mpataBabe s naweza mkoswa kienyeji hivi hivi
Wizard ni mchawi wa kiume wa kike ni witch.Sio mchawi ni wizard
Nakupendaje babe s!!![emoji255]Quigley
Aaah naona umekuja.....hahahaha...karibuHabariiiiiii
Ujichokonoe ya nini? Si uiguse juu kama unaikanda kanda kwan mpaka uichokonoe....Ina maana we hujawahi kujichokonoa pua hata kama inawasha?
By the way TOA LIKES KAMATA LIKES. That's how we roll here !
Hahahaha....salama uniq nimefika salama kbsaBabe S habari za muda. Umefika kwako salama???
Unaweza kuanza sasa Mama nimekujaNianze kuandika rasmi sasa...
Numbisa
Tia adabuBabee eeees eeeh?
Itika walau nione mwandiko wako tu.
Hayaaa!!!!!!Usiku mwema wapendwa...