Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaha, nimemuonea huruma sana Blandina aiseee!
Nop sio kweli,check post zako kama hutokuta likes zanguWewe kila mtu anakupa likes ila hautoi kabisaa mpka uambiwe. Humu ni toa likes upewe,ukiendelea na hii tabia likes hautapata humu
I'm here Pyaar ,bundle la budget[emoji1] [emoji1]Where are u Hammy b?.. I miss u [emoji2] [emoji2]
[emoji1] [emoji1] Hata wewe unasapot wakat we ndo nmekupa likes nying zaidKweli tena, kazi kuuza sura tu[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Polee, naomba namba nikutumie salio.I'm here Pyaar ,bundle la budget[emoji1] [emoji1]
Aisee huu Uzi siami,Polee, naomba namba nikutumie salio.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , tumaAisee huu Uzi siami,
Kuna hadi mabando ya bure kabisa.
Basi na mimi natuma namba mnichangie
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[emoji120] [emoji120] [emoji120] thank you Pyaar bt let me fight for searching it self byPolee, naomba namba nikutumie salio.
Wewe tuma namba ya Vocha mimi ntakushukuru sana![emoji2] [emoji2] [emoji2] , tuma
Tunashukur Mama mchungajiWatashindana lakini hawatashinda.
Yer 1:18-19
Sipo jirani na maduka, tuma no. nkutumie M-pesa/Tigo pesa.Wewe tuma namba ya Vocha mimi ntakushukuru sana!
Hahahahaaa![emoji120] [emoji120] [emoji120] thank you Pyaar bt let me fight for searching it self by
Hiyo M-Pesa na Tigo Pesa unataka kunitumia laki nini ???😀😀😀😀Sipo jirani na maduka, tuma no. nkutumie M-pesa/Tigo pesa.
Zaidi ya lakiHiyo M-Pesa na Tigo Pesa unataka kunitumia laki nini ???😀😀😀😀
Ooooh hallelujah hallelujah huuu ni muujiza kutoka kwa Bwana wa Majeshi!Zaidi ya laki
Bwana apewe sifa.Ooooh hallelujah hallelujah huuu ni muujiza kutoka kwa Bwana wa Majeshi!