Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Cha ajabu mtoa Post pamoja na Likes kua nyingi humu , yeye thread yake ina Likes 5 tu...
Sasa tuanze kampeni ya kulike Post ya mtoa mada , tuacheni ubinafsi..
Mm naenda kulike baada ya hapa.
 
Back
Top Bottom