Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wameufuta hata huyo mama mshambuliwa hajaja kujitetea? Niliishia page ya nne kufuatilia. JF hapa jamani tuweni waangalifu sana. Siku yako inaendaje? Solitaire umeshashinda mara ngapi leo? Nawasiliana na Patel ili wakuwekee tracking system kwenye kompyuta yako. Huwezi kuwa unacheza zuma na kufuatilia ubuyu wa JF wakati upo kazini. Nefaaaaaa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tracking system ipo wamewekaga kila sehemu hadi kwenye gari , Me ndo nlikuwa nimeanza page 1.
Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Screenshot_20180321-073144.jpg

Empty set rubbish rubbish rubbish TII KIU YAKO. JF whea wi dea tu toko openili...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tracking system ipo wamewekaga kila sehemu hadi kwenye gari , Me ndo nlikuwa nimeanza page 1.
Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sasa hizo karata unazichezaje bila wao kugundua? Nipe maujanja mama...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom