myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
nawatakia chakula kitamu...
DaimaaUzalendo wetu udumu
Amani na utulivu
Nimefika huko. Kazi kweli kweli....@Numbisa,kumekucha huku maa
Je unamjua Mama Tukinao Wa Jamii Forum?!
Shimbonyi?carbamazepine umeona mumunya kuleeee
carbamazepine umeona mumunya kuleeee
@Numbisa,kumekucha huku maa
Je unamjua Mama Tukinao Wa Jamii Forum?!
Jibu sasa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja nikagugo nitarudiShimbonyi?
Vipi ulitaka ligi iendelee?Umefutwa duuhhhh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wameufuta hata huyo mama mshambuliwa hajaja kujitetea? Niliishia page ya nne kufuatilia. JF hapa jamani tuweni waangalifu sana. Siku yako inaendaje? Solitaire umeshashinda mara ngapi leo? Nawasiliana na Patel ili wakuwekee tracking system kwenye kompyuta yako. Huwezi kuwa unacheza zuma na kufuatilia ubuyu wa JF wakati upo kazini. Nefaaaaaa !!!Umefutwa duuhhhh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]