Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbali na vitamini, tunda hili lina madini mafuta (fatty acids) kiasi cha gramu 100, miligramu 2.93 za madini aina ya kalisi, miligramu 2.31 za potassium, na miligramu 118 za fosiforasi. Hii inadhihirisha umuhimu wa ubuyu kutokana nakusheheni vitamini na madini.
 
USTAWISHAJI WA NYANYA : Asili ya zao la nyanya ni Amerika ya Kusini na Kati, hasa katika nchi za Peru na Ecuador. Nchini Tanzania zao hili hulimwa karibu mikoa yote hasa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro,Iringa, Mwanza, Dodoma, Tanga, Pwani na Mbeya.
 
Back
Top Bottom