Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AINA ZA NYANYA:

Aina bora za nyanya ni zile zinazotoa mavuno mengi na yaliyo bora, zinazostamili magonjwa, zinazokomaa mapema, zenye ladha nzuri na umbo la kuvutia. Miongoni mwa aina za nyanya ambazo hustawishwa sana na wakulima wetu ni Money maker, Marglobe, Rutgers, Amateur, beef master, Oxheart, Erliana, Urbana na Best of all.
 
HALI YA HEWA:

• Nyanya hustawi katika udongo wa aina nyingi ili mradi uwe na rutuba na usiotuamisha maji. Udongo unaofaa sana ni ule wa kitifutifu wenye mboji na mchanganyiko wa kichanga na mfinyanzi.
 
IMG_3284.JPG
 
Ustawishaji wa zao hili huhitaji joto la nyuzi 18 hadi 30 za sentigredi. Joto jingi sana husababisha matawi ya matunda kuwa machache. Joto kidogo sana hufanya mimea kutoa matawi mengi sana ya matunda machache.
 
Back
Top Bottom