Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upungufu wa mbolea hii husababisha udumavu, majani hugeuka na kuwa bluu iliyochanganyika na kijani, pia rangi ya zambarau kutoka juu kuelekea chini hadi kwenye shina, huharibu umbo la matunda, na nafaka kushindwa kujaa vya kutosha.
 
Huboresha hali ya unyevu kwenye mmea hivyo kuuwezesha kustahimili ukame, chumvichumvi na shambulio la ukungu. Vilevile kama potasi inatosha, mimea iliyooteshwa huwa na nguvu za kuvumilia shambulio la wadudu na magonjwa.
 
Upungufu wa mbolea hii husababisha udumavu, upotevu wa rangi ya kijani kutoka pembezoni mwa jani na kutoka juu mpaka nyuma ya jani. Pambizo za nje ya jani hugeuka njano, baadaye nyekundu, hatimaye kahawia, kisha hunyauka. Shina huwa njano, baadaye jekundu na hatimaye hupinda kabisa, na matunda huwa madogo yenye vidondadonda au madoadoa.
 
Aisee nilikuwa namuandikia Bilionea Asigwa
Hakuna neno mkuu. Hata ma-Great Thinkers huwa wanapita pita huku kusalimia sometimes. Naona huyo GT naye kapita tu. Wachache sana kama wewe ndiyo angalau huwa na courage ya kuzoea zoea huku. Wengine mara nyingi huja kutukejeli huku halafu wanarudi kwenye majukwaa ya ma-Great Thinkers wenzao huko hasa kwenye siasa, MMU na mengineyo...
 
IMG_20180321_225538_229.jpg
 
Back
Top Bottom