MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hakuna neno mkuu. Hata ma-Great Thinkers huwa wanapita pita huku kusalimia sometimes. Naona huyo GT naye kapita tu. Wachache sana kama wewe ndiyo angalau huwa na courage ya kuzoea zoea huku. Wengine mara nyingi huja kutukejeli huku halafu wanarudi kwenye majukwaa ya ma-Great Thinkers wenzao huko hasa kwenye siasa, MMU na mengineyo...
Aiseeeeeeeeeeeeee,😱😱😱😱😱😱
Mkuu kuna watu bado wanaamini kushinda Siasani na Intellijensia ndiyo U-Great Thinker ???
Hahahahahah Tanzania bado tuna safari ndefu sana, sanaaa.......