Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi hatuwezi kutumia Kiswahili kufundishia watoto mashuleni ??
Itabidi ifike mahali tuamue moja. Kama ni Kiingereza basi Kiingereza tangu la kwanza. Kama ni Kiswahili basi Kiswahili. Hii mshika mbili hii inatukosesha vyote. Tunazalisha wasomi ambao linguistically ni semi-illiterate: Kiswahili hawajui sawasawa na Kiingereza hawajui. Ajabu sana...

Cha kushangaza zaidi ni kwamba swala nyeti na la msingi kama hili kitaifa nalo limegeuzwa kuwa la kisiasa...
 
Ndo madude gani hayo?

tapatalk_1517951520989.jpeg
 
Back
Top Bottom