Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kichwamaji
Euphrase Kezilahabi
===Kina majiniazi===Kile kisiwa kabisa kilikua na ma jiniasi bana! Hii generation yetu hamna kitu! [emoji23][emoji23]
Rosa Mistika
Hii generation ya sasa hadi wapitishwe bakora ndo wanaitika.Kile kisiwa kilikua na ma jiniasi bana! Hii generation yetu hamna kitu! [emoji23][emoji23]
Umeshajaribu kusoma vinovela viwili vya Kezilahabi: Mzingile na Nagona? Jaribu kuvisoma halafu unipe mrejeshoKile kisiwa kilikua na ma jiniasi bana! Hii generation yetu hamna kitu! [emoji23][emoji23]
Bhwacheye tabhani..Enisima Nyamuwanga.Yebhe subhati, bwacheye?