Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The GOAT and the other GOAT...

michael-jackson-michael-jordan-dancing.gif
 
JINSI DAWA YA MUAROBAINI INAVYOFANYA KAZI:

Wadudu mbalimbali hasa nzige hawapendi harufu ya dawa za muarobaini. Dalili huanza kuonekana mara baada ya kunyunyizia maji yenye muarobaini, wadudu huacha kula kwa sababu harufu na ladha ya mmea iliyonyunyizwa dawa si nzuri.
 
Back
Top Bottom