Kwahiyo ulikuwa mlinzi???Karibu sana mkuu, yote niliyo mwambia babe S usiyajali sana maana haukuwepo na "mibaba" ilimvamia mazima
Ukimuita mtu wizard umempa heshima kubwa sanaWizard ni mchawi wa kiume wa kike ni witch.
Sana, wasiliana na SHIMBA YA BUYENZENaona umefurahi sana kuna nimeingia humu ndani
Hahahaha...Andjul hivi unajua huyo uniq anakuzungumza vibaya sana mbele za watu?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda kakae kibiti mkuu hata sisi tunatamani ukakae huko[emoji24] [emoji16]
Anataka kunitekeleza mzee wa makinikia.[emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sio kwa Dhahabu hiiMererani kwa Tanzanite wanaita mtobozano, yaani wachimbaji wa madini kukutana ardhini kutokea pande tofauti
Kuna witch Craft hakuna wizard craftWizard ni mchawi wa kiume wa kike ni witch.
Nilisha waambia nikitoka na yeye anatoka nikirudi na yeye anarudi sasa huoni kuwa ni mali yangu hiyooTujipe muda mkuu. Kwa nini tuandikie wino na mate yapo?
Nipo mkuu majukumu balaaaMzee wa liver
Hajahamia kijana ni mharibifu anataka Dhahabu yangu. Bora utafute mwingineNakuona tu, kumbe ulihamia kwa baby s tena?
Bora umenisaidia kumuuliza maana hata mm simuelewi huyu.Kwahiyo ulikuwa mlinzi???
Liambie,muda wote ubabe ubabe tu.babe S mwenyewe hana nongwa na mtuMkuu jiamini dhahabu inasakwa na watu wote.
Kweli na mm naona huyu mzee w makinia hafai.Hajahamia kijana ni mharibifu anataka Dhahabu yangu. Bora utafute mwingine
Kidogo tu nimwamini......ahahahahahAnataka kunitekeleza mzee wa makinikia.
Tumeshinda nawe kuanzia asubuhi lini umetoka?Nilisha waambia nikitoka na yeye anatoka nikirudi na yeye anarudi sasa huoni kuwa ni mali yangu hiyoo
Nimerudi ujue mi nakuangalia tu.Liambie,muda wote ubabe ubabe tu.babe S mwenyewe hana nongwa na mtu