Salamu zako toka kwa nsamakaNipo vizuri kabisa mkuu
Fungasha virago nduguNaziona dalili kabisa mkuu
UchanganishiAndjul hivi unajua huyo uniq anakuzungumza vibaya sana mbele za watu?
Hahahaaaa, naomba niitengue ile kauli mkuu. Nisamehe piaUlinishambulia kuwa eti nina maneno mabaya. Mpaka sasa ipo mijibaba mitano inapambana. QUIGLEY nadhani ataibuka mshindi katika hiki kinyang'anyiro...
Haniwezi kasha haribu kumbe ana nsamakaUniq nimemsikia andjul akisema hutaki kulipa pesa zake,
Na kasema atakuonyesha kazi.
andjul........Hahahaaaa, naomba niitengue ile kauli mkuu. Nisamehe pia
Bora umenisaidia kumfikishia labda ataona.Salamu zako toka kwa nsamaka
Watakimbia wenyewe maana nimesha kujaSana, wasiliana na SHIMBA YA BUYENZE
We acha tu.Hahahaha...kama vile amesikia
Nimesha kuambia ni mharibifu huyu AndjulAnataka kunitekeleza mzee wa makinikia.
Niguse ni kichane chane na viwembeWakikosana andjul na uniq vita itakuwa kwenye mteremko tayari.
Pata hata like hizi[emoji113]Napita kuwapa hi tu.
andjullllllll njoooooooBora umenisaidia kumuuliza maana hata mm simuelewi huyu.
Kama vile nsamaka alivyo hana nongwa na mtuLiambie,muda wote ubabe ubabe tu.babe S mwenyewe hana nongwa na mtu
Nimekusaka sana,naona baby s amekushika kisawasawa.Pata hata like hizi[emoji113]
Sabuhi tuliamua kutoa like mimk na mama watoto. Hatukuwa na mpango wa kuandika sanaTumeshinda nawe kuanzia asubuhi lini umetoka?