Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wale mamba mie hawanipi shida.
Mtoto wa mamba ni mamba.[emoji2] [emoji2]
Wameelezwa vizuri sana katika riwaya ya Ruhumbika ya Janga Sugu la Wazawa. Kamjusi kanakufuata kwenda ziwani unakadharau lakini ukitia mguu ziwani tu kanageuka na kuwa limamba likuuuuubwa. Sayansi ya ajabu sana kwa Waafrika. I wish tugefundishana tu waziwazi mashuleni...
 
Kakishua...

Kalipotea kimoja. Mnakakumbuka?

Cherie%20Neisha.jpg
 
Back
Top Bottom