Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wameelezwa vizuri sana katika riwaya ya Ruhumbika ya Janga Sugu la Wazawa. Kamjusi kanakufuata kwenda ziwani unakadharau lakini ukitia mguu ziwani tu kanageuka na kuwa limamba likuuuuubwa. Sayansi ya ajabu sana kwa Waafrika. I wish tugefundishana tu waziwazi mashuleni...
Braza shimba shikamooo
Hv wew n mchaw au mlinz?
 
Wameelezwa vizuri sana katika riwaya ya Ruhumbika ya Janga Sugu la Wazawa. Kamjusi kanakufuata kwenda ziwani unakadharau lakini ukitia mguu ziwani tu kanageuka na kuwa limamba likuuuuubwa. Sayansi ya ajabu sana kwa Waafrika. I wish tugefundishana tu waziwazi mashuleni...
Hahaha! Halafu sasa cha ajabu mamba akishakufikisha sehemu husika, aliyemwagiza mamba kukuchukua akigundua kaletewa mtu tofauti na aliyeagiza, mamba anaamriwa kumrudisha alikomtoa bila heka heka yoyote.

Ila kwasasa hii sayansi naona kama inaingiliwa na umagharibi, maana naona makali yamepungua.[emoji2] [emoji2]
 
Inapungua kwa sababu hauko huko. Nenda ukaongee na wanakijiji watakwambia...
 
Back
Top Bottom