Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mai rolo modo...Kwema?
View attachment 722824
Wameelezwa vizuri sana katika riwaya ya Ruhumbika ya Janga Sugu la Wazawa. Kamjusi kanakufuata kwenda ziwani unakadharau lakini ukitia mguu ziwani tu kanageuka na kuwa limamba likuuuuubwa. Sayansi ya ajabu sana kwa Waafrika. I wish tugefundishana tu waziwazi mashuleni...Wale mamba mie hawanipi shida.
Mtoto wa mamba ni mamba.[emoji2] [emoji2]