Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimetoka zangu kwenye mgahawa fulani usiku kula sasa,
Nimeweka earphones masikioni mziku juu kumbe nyuma jamaa katoka mbio huko na gari linakuja silisikii.
Yaani nastukia hili hapa hahahaa nikasogea fasta tu....Jamaa alikuwa kalewa sijui.....!
she! tapatie yeye hio kitu...Wanaume naona hapa mnajigamba kila day eti mko na madem. .. Kwani hakuna mwanaume ataweka mimba huyu mwanamke wa safaricom anayedai "sorry u have insufficient credit to make the call" aende maternity leave tupige simu free??? Nimefikiria kama sina credit hadi nalia hapa kando na plot yenu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Almanusura mkuu wangu...!Almanusra Mkuu!
Hii thread ina vituko hatar[emoji2] [emoji2] [emoji2]Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]