Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
¿Què sigue?Haiyaaaa! [emoji124][emoji124]
ZogoshiiiiBhebhe nang’ho!
Jizazi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zogoshiiii
Acha tuendelee kufurahishana kwa komenti za kuchekesha ili siku iende.Nakumbuka siku ya kwanza nimeanza kazi mahali fulani huko kwa wenzetu. Ndipo niligundua:Jamaa wanafanya kazi si mchezo na pengine ndiyo maana wameendelea.
Sisi hata aje nani kutuongoza, bila kubadili falsafa zetu za msingi kuhusu wajibu wa serikali kwa wananchi wake (and vice versa), ni kazi bure tu. Ndiyo maana huwa nacheka sana nikiona mwanasiasa anaropoka majukwaani kuwa eti atatuletea maendeleo. Utatuleteaje maendeleo kama wenyewe hatutaki? Utatuleteaje maendeleo kama falsafa na tamaduni na mifumo yetu ni ile ile iliyotufikisha hapa tulipo? Utatuleteaje maendeleo kama hatuna njia ya kukuwajibisha wewe kiongozi tukikuona unatupeleka ndiko siko? Utatuleteaje maendeleo kama sisi wenyewe hatutaki kutimiza wajibu wetu? Tunaongelea maendeleo utafikiri mvua inayonyesha ghafla kutoka mbinguni kumbe ni jambo gumu linalohitaji muda mrefu (wakati mwingine vizazi kadhaa), kujinyima, kufanya kazi sana na kujitoa muhanga.
Maendeleo ya kweli huanza kwa jamii kwanza kubadilika kifalsafa, kimfumo na hata kitamaduni. Kunakuwa na mvuvumko wa kifkra. Jamii yenyewe inakuwa imechoka na mfumo uliopo na inaamua kubadilika kabisa. Na mabadiliko haya mara nyingi huiongezea wajibu wake mf. kufanya kazi kwa bidii zaidi na kujinyima huku ikiungwa mkono na viongozi wenye maono yanayofanana. Vinginevyo ni kucheza makida makida tu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf siku hizi ni raha sana.
[emoji120] [emoji120]Kumbe bado unayo irushe basi tuikague pamoja haahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mmoja majuzi aliaga hivyo hivyo,ajabu akaendelea kutiririka kwa muda mreeefu hadi wakaanza kumfukuza...Naikopi hii naenda kumuaga mtu humu JF kaanzisha uzi anasema anaondoka JF
Bonge la selfie halafu akina nanii humu wanasema wao wahenga aiseee muhenga mwenyewe yupo katulizana kwwnye viroba vyake hapoNajitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haha watu wabaya hadi kumfukuza mwenzao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mmoja majuzi aliaga hivyo hivyo,ajabu akaendelea kutiririka kwa muda mreeefu hadi wakaanza kumfukuza...
Jf ni kama mpenzi wa kwenye shida,sio ya kuaga.Ukiitamani unaitafuta kimya kimya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa umenivunja mbavu aiseee si kwa uhenga huoBonge la selfie halafu akina nanii humu wanasema wao wahenga aiseee muhenga mwenyewe yupo katulizana kwwnye viroba vyake hapo