carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unajua humu watu hawajazoea/hatujazoea kuweka picha zetu halisi ndo maana ukiweka kila mtu anashangaa na utapata maneno ya kila aina.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haki ya Mungu...
Naanza kumuelewa Numbisa sasa,hakuna kuonana sura. Jamaa kapokelewa kwa nderemo utadhani katoka sayari ya Jupita!!!
Sasa mzee baba kaamua kutupia le selfie matata akaishia kuchekwa maana kaitwa hadi chura[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata anajisikiaje huko aliko....
Halafu naona waanza visababu,najialika pasaka nije kukutwanga selfie nitupie humu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]