Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haki ya Mungu...
Naanza kumuelewa Numbisa sasa,hakuna kuonana sura. Jamaa kapokelewa kwa nderemo utadhani katoka sayari ya Jupita!!!
Unajua humu watu hawajazoea/hatujazoea kuweka picha zetu halisi ndo maana ukiweka kila mtu anashangaa na utapata maneno ya kila aina.
Sasa mzee baba kaamua kutupia le selfie matata akaishia kuchekwa maana kaitwa hadi chura[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata anajisikiaje huko aliko....

Halafu naona waanza visababu,najialika pasaka nije kukutwanga selfie nitupie humu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…