Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Hatimaye nimekutana na andjul wa jf aiseh!jamaa ana......."

Sijui umewaza nini....

Ila shem mama hana kosa waswahili walisema "uzuri wa mtu uko machoni pa mtu"
Kwenye macho yake u mzuri kuliko wanaume wote.....
 
Acha tu hizi sura za GOAT hizi
 
Nimekuta leo na mzungu mmoja nimecheka balaa anakwambia maisha mafupi vuta sigara maisha marefu piga pumbu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…