Mwishowe ujikwae kidole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwendaaaaa...
Yaani nimekuwa msaada kwa majirani kuwanyamazisha watoto wao wanao lia hovyo.... Utasikia "nimwite baba fulani..." mma nanyamazaaaaa(mtoto anaitikia kwa uoga)...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kunguru muoga havuki barabaraNarudi nyumban eee miee najipendaaaa hahahah
Tumuombe Mungu aendelee kutupa pumzi na afya njema. Mengine ni ziada tuTunapambana nayo mkuu! Hapa JF tunajaribu ki distress ma stress yetu huku mapambano yakiendelea! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kijana mpole kwa pande yako ivo
Hivi ni vibunzi au “Vigunzi”? Hiki Kiswahili nacho saa ingine ni pasua kichwa! [emoji1]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nasubiri aanze carbaView attachment 723446
Ngoja nisubiri comments zitazotiririka kuhusu hii picha! [emoji1][emoji1]
😀 😀 😀Kwenye komenti tuna jipiga "make up" tunaonekana tuna sura nzuri kweli kweli...
Siku itokee tukikutanishwa mbona huyo mkaka aliye ripoti leo ataonekana mrembo sana...