Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha hamna mie ntakausha tu ila ntakosa konfidensi ya kufunguka utumbo na mashudu humu maana ntaona kuna mtu ananisunta kiana kisa keshaonana nami
 
Hahahaha hamna mie ntakausha tu ila ntakosa konfidensi ya kufunguka utumbo na mashudu humu maana ntaona kuna mtu ananisunta kiana kisa keshaonana nami
Ni kweli kabisa. Nimeona familia ya uzi huu wakikutana kwenye majukwaa mengine wanakuwa wapoleee....purukushani za mwanzo kabla ya uzi huu zimeisha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…