Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sifa nyingine za zao la soya ni pamoja na kuwa na mafuta yasiyokuwa na lehemu (Cholesterol), kuwa na uwezo wa kuongeza virutubishi aina ya nitrogen kwenye udongo, gharama ndogo za uzalishaji kulinganishwa na mazao mengine,
 
Unga wa soya iliyokaangwa hutumika kama chai au kahawa, kinywaji hicho hakina kilevi. Mashudu ya soya ni mazuri kwa chakula cha mifugo kama kuku na nguruwe. Pia zao hili hutumika katika kutengeneza dawa na vipodozi. Aidha uwezo wa soya kustawi katika maeneo yastawishayo mahindi na maharage unamaanisha kwamba zao hili huweza kulimwa sehemu nyingi za Tanzania.
 
img-20171123-wa0060-jpg.636920
 
Sifa hizi zinafanya soya kuwa zao lenye umuhimu na thamani kubwa katika kuboresha maisha ya binadamu na mifugo, na pia kuongeza kipato. Wananchi wanashauriwa kulima na kutumia soya ili kuongeza kipato na kuboresha afya zao.
 
Kuna mtu aliniwekea konyagi kwenye chupa ya maji ya uhai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio akili yangu hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba akuongezee nyengine kidogo
Kichwa Kichafu njoo umfate pimbi wako
 
Licha ya kuwa na faida zote zilizoainishwa hapo juu, zao la soya halipewi kipaumbele kama ilivyo kwa mazao mengine Wananchi wengi hawafahamu faida na namna ya kuzalisha zao hili. Ni matumaini yangu kwamba baada ya kuelewa faida hizi watahamasika kulilima na hivyo kuboresha afya za jamii na kujiongezea mapato.
 
Historia ya zao la soya nchini Tanzania

Asili ya zao hili ni nchi ya China, ambapo lilianza kulimwa karne kadhaa zilizopita. Nchini Tanzania liliingizwa miaka 100 iliyopita katika maeneo ya Amani Tanga. Baadaye kati ya mwaka 1930 na 1960 kilimo hiki kilisambaa maeneo mengine nchini kama Nachingwea, Mtwara, Kilosa, Morogoro na Songea
 
Back
Top Bottom