Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MV mapenzi,
Meli ya wapendanao,
Moyo kama Bahari,
Manahodha mimi na wewe,


Duniani kuna mengi sawasawa na bahari
Kuna papa ,nyangumi tena wale wa hatari
Hawapendi kuiona meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe safari
Mkuu usisahau namba 2 walivyoondoka akina Bichuka, nahodha akawa Cosmas Chidumule... Kuchafuka kwa bahari sio mwisho wa safari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…