Shiiiit!?Dah!!!
Vipi unawauliza NIDA au wamuuliza Numby?Na waliokuwa raia ambao si raia tena wanatakiwa kuwa na kitambulisho gani, Passport?
Aaah kumbe ushaukana utanzania poleee hauruhusiwi kuimilik simu kaaa huko huko ulipoNa waliokuwa raia ambao si raia tena wanatakiwa kuwa na kitambulisho gani, Passport?
Hahahaha bora umemuulizaVipi unawauliza NIDA au wamuuliza Numby?