Aaah kumbe ushaukana utanzania poleee hauruhusiwi kuimilik simu kaaa huko huko ulipo
[emoji2] [emoji2] , kumbe miezi 6 tu, haitamuathiri akikaa bila kutumia simu.Embu acha utani bana, namuulizia mtu. Anataka kuja huko na atakuwepo for six months! [emoji1]
Kwa kipind hiki sheria haijawa kali wengi hawana vitambulisho hivyo so wanatumia hata passport kujisajilia just pesa yako tu hawa mawakala wa mitaan wanakusajili vizuri tuEmbu acha utani bana, namuulizia mtu. Anataka kuja huko na atakuwepo for six months! [emoji1]
Hahahahaha jaman muoneee huruma,saa moja tu bila simu mtu unaanza jihisi upo herezan[emoji2] [emoji2] , kumbe miezi 6 tu, haitamuathiri akikaa bila kutumia simu.
[emoji2] [emoji2] , kumbe miezi 6 tu, haitamuathiri akikaa bila kutumia simu.
Kwa kipind hiki sheria haijawa kali wengi hawana vitambulisho hivyo so wanatumia hata passport kujisajilia just pesa yako tu hawa mawakala wa mitaan wanakusajili vizuri tu