Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
teh teh tehMimi walikua wananiita LODILOFA
malodilofa wana sifa kuu moja, mbwembwe na kuhonga
teh teh tehMimi walikua wananiita LODILOFA
Haahaha,Seems enzi zako umeharibu sana vibinti...
Na Madenge?? heheheteh teh teh
malodilofa wana sifa kuu moja, mbwembwe na kuhonga
Ha ha ha haHaahaha,
Katika kitu ambacho nilikuwa sina hobby nacho ni vibinti...
Japo mimi nidyo nilikuwa bingwa wa kushauri watu kuhusu mapenzi na kuwaandikia barua za kiingereza wenyewe tunasema Kusymbolize mabosity.....😀😀😀😀
ha ha haNa Madenge?? hehehe
Tuko mzalendo pub hapa kijitonyama.Burudani za weekend viwanja...
Sawa mkuu...Tuko mzalendo pub hapa kijitonyama.
Tunakula live band
Hahahahahaha, kuhusu totoz hujakosea kabisaa,Najua ngeli ilikufungulia fursa kubwa sana ya mioyo ya watoto wazuri.
Asee umesihi maisha matamu sana.Hahahahahaha, kuhusu totoz hujakosea kabisaa,
Nakumbuka ilifika hadi kipindi nikawa silipi hela ya Breakfast, teh teh teh!
Sema nilikuwa sinaga time nao kivileeeee, nilikuwa napenda sana Pesa kuliko totoz...