Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Omujungu.... Yegoooooo. Nimesikia "dada" zako hapa wanataka wifi wa kizungu na vitoto virembo vichotara...Usiwaangushe !!! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
View attachment 724358

Hata kama ningekuwa na nia, si kwa size hiyo Mkuu! Unajua wanaitwaje hao jina la utani na Abajungu wenzao? Eti ni reserved for African/Blacks! [emoji1][emoji1]
 
Ahadi za wagombea

Akizungumzia sababu za kuwania nafasi hiyo, Mussa alisema: “TLS kwa sasa inahitaji kiongozi atayeweka wanachama pamoja kwa kuwaunganisha na kupunguza tofauti ili inapofanya jambo, linakuwa la pamoja na wanachama wanaishi kuendana na taaluma yao ya sheria na si vinginevyo.
 
TLS ilipoanzishwa mwaka 1954, ilikuwa na malengo yake na moja ni kuishauri Serikali katika masuala ya sheria, lakini hili limepotea kabisa na linahitaji kufanyiwa kazi. Lakini lengo jingine lilikuwa ni kutoa msaada kwa wanyonge wanaohitaji haki ila kutokana na unyonge wao hawakuweza, sasa nitahakikisha hili linafanyika.”
 
Back
Top Bottom