Shimbaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siri ya uumbaji. Binadamu unauvaa Uungu. Ni kazi ngumu sana. Ndiyo maana wakati mwingine waweza jikuta hata mjambo unakutoka. Na wengine hata kimba huwaponyoka. Bahati nzuri ni sekunde chache. Ingekuwa dakika tano hivi kila siku tungekuwa tunazika maelfu ya watu[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Sema mkuu...Shimbaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona andaeitini anasema sio hao? Miiba yake ikikaba lazima umeze matonge ya ugali makavu...Ni wenyewe mkuu. Wana miiba mingi midogo midogo. Utotoni tulikuwa hatupewi na badala yake tunapewa nembe...
Pyaar usimsikilize,nadhani ana ugomvi na mimi.Makunguru gani ile?Wasukuma walishakulia nini jamani? Mbona unatuandama hivyo? Watu wameshajadili na kutaja mpaka jina la mtaa huko Mwakaleli halafu we unazuka eti Usukumani...
Baby shikamoo !!!Nyanshiski - bebe [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]