Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I like her. Ishi unavyotaka ali mradi huvunji sheria au kuudhi wengine. Hii mikatale ya jamii hii ni mikanda ya kisaikolojia inayotesa watu wengi. Yeye na Le Mutuz are my heroes. No time kufurahisha watu - who don't give a f**ck anyway...Hawezi kukua wala kujitambua huyu ndo basi tena.
Mtu anakaribia 30's huko(kama bado hajafika maana kila mwaka ako na 26)akili yake iko kama binti aliyebalehe,hovyo kabisa.